sasas

TCRA yatangaza fursa wabunifu wa TEHAMA

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imewataka vijana wabunifu na wavumbuzi wa programu mbalimbali za kidijitali kujitokeza kupata rasilimali zitakazowawezesha kupata fursa ya kutengeneza ajira; kujiletea kipato na kutatua changamoto mtambuka za jamii. Mkurugenzi Mkuu wa TCRA, Dk. Jabir Bakari amesema mapema leo Jumatatu Novemba 14, 2022 kuwa mamlaka hiyo kwa kushirikiana na taasisi nyingine imeamua…

Soma Zaidi
WhatsApp Image 2022 11 14 at 3.35.05 PM

Waziri ahimiza uwekezaji sekta ya utalii

Wizara ya Maliasili na Utalii imesema itaendelea kushirikiana na wadau mbalimbali katika kutangaza vivutio vya utalii na fursa za uwekezaji zilizo katika sekta ya utalii ndani na nje ya nchi. Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Dkt. Pindi Chana amesema hayo alipokuwa akitoa salamu za Wizara wakati wa kufunga Maonesho ya Utalii Karibu Kusini mkoani…

Soma Zaidi
mwinyi

Kipaumbele cha kwanza ni kujenga miundombinu: Rais Mwinyi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Ali Mwinyi amesema matarajio yake kwa sasa ni kujenga miundombinu kwanza. Akihutubia katika maadhimisho ya miaka miwili ya kuiongoza Zanzibar, Rais Mwinyi amesema “kipaumbele cha kwanza katika miaka miwili ijayo ni kujenga miundombinu mikubwa, miundombinu ya barabara kuu katika nchi yetu. Miundombinu ya bandari…

Soma Zaidi
WhatsApp Image 2021 07 16 at 14.50.17

Maganda ya korosho yanavyotengeneza mafuta

Kama ulikuwa hufahamu kuwa maganda yatokanayo na zao la korosho yanatengeneza mafuta, basi sasa ujue. Lydia Amor ni mjasiriamali katika Halmashauri ya Mji wa Masasi ambae pia ni Mkurugenzi wa Lige Enterprise alifika katika maonyesho ya 45 ya Biashara (sabasaba) na kuweza kuonyesha bidhaa mbalimbali ikiwemo zao la korosho. “Nimefurahi sana kuweza kushiriki katika maonyesho…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks