WhatsApp Image 2023 05 09 at 12.10.49

Tanzania yaishukuru Sweden

Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba ameishukuru Sweden kwa misaada mbalimbali iliyoweka alama chanya katika maendeleo ya kiuchumi katika sekta ya nishati, elimu na masuala ya demokrasia. Amesema hayo jijini Dodoma, wakati wa mkutano wake na Balozi wa Sweden nchini Tanzania, Charlotta Ozaki Macias, ulioangazia ushirikiano wa maendeleo kati ya nchi hizo mbili….

Soma Zaidi
WhatsApp Image 2023 05 02 at 13.57.54 1

Wafanyakazi wachekelea nyongeza mishahara

Rais wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan amerudisha nyongeza ya mishahara kwa wafanyakazi wa umma kwa kila mwaka iliyokuwa imeondolewa miaka saba iliyopita. “Mambo ni moto, mambo ni fire” alisikika Rais Samia wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Dunia Meimosi mkoani Morogoro. “Niseme pia, kuna nyongeza za mishahara za mwaka, ambazo kwa muda mrefu…

Soma Zaidi
WhatsApp Image 2023 04 28 at 14.41.17

Denmark kuendeleza ushirikiano na Tanzania

Denmark imeahidi kuendeleza ushirikiano zaidi na Tanzania katika jitihada zake za kuimarisha uchumi na maendeleo ya wananchi kwa kutoa fedha na misaada ya kiufundi katika sekta ya mbalimbali ikiwemo afya. Ahadi hiyo imetolewa na Balozi wa Denmark nchini Tanzania, Mette Norgaard Dissingspandet wakati akifanya mazungumzo na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Dkt. Natu…

Soma Zaidi
WhatsApp Image 2023 04 28 at 12.57.17

Baraza la Chuo cha Taifa cha Sukari lazinduliwa

Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amezindua Baraza la Chuo cha Taifa cha Sukari na kulitaka Baraza hilo kuhakikisha kuwa inakuwa Kituo cha Umahiri cha kuboresha sekta ya sukari nchini. Katika uzinduzi huo uliofanyika kwenye Ukumbi wa Wizara ya Kilimo-Dodoma na kuhudhuriwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Gerald Mweli, Bashe amelitaka Baraza hilo kuhakikisha…

Soma Zaidi
sasasa

Simba, Yanga zaingiza Sh 410 milioni

Shirikisho la soka Tanzania (TFF) limetangaza mapato ya mechi ya Simba vs Yanga iliyochezwa Aprili 16 iliingiza Sh410 milioni. Tarifa ya TFF imeeleza mgawanyo wa hela hizo ambapo VAT ni Sh62 milioni, Baraza la Michezo (BMT) Sh10 milioni, gharama za tiketi Sh22 milioni, uwanja Sh47 milioni na mchezo ni Sh22 milioni. TFF imeeleza kuwa wao…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks