WhatsApp Image 2023 05 23 at 17.21.39

Mtanzania wa kwanza apata cheti eneo huru la biashara Afrika

Mfanyabiashara wa kwanza wa Kitanzania amepata cheti cha kufanya biashara katika eneo huru la biashara Afrika (African Continental Free Trade Area), AfCFTA. Mfanyabiashara huyo Shabani Hamis ni kutoka katika kampuni ya kizawa ya EXPORT TRADING GROUP (ETG). Kampuni hiyo imenufaika na mkataba wa soko hilo na kufanikiwa kusafirisha kontena 9 za kahawa ya Kitanzania aina…

Soma Zaidi
weweee

Ndege 4 kuwasili ifikapo 2024

Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa amesema ndege nne zinatarajiwa kuwasili nchini ifikapo Februari, 2024. Prof Mbarawa amesema hayo wakati akiwasilisha Bungeni Makadirio ya mapato na matumizi ya Fedha kwa mwaka wa fedha 2023/2024 ya Wizara hiyo. “Miongoni mwa maeneo muhimu ambayo Serikali imeendelea kutekeleza katika uimarishaji wa ATCL ni pamoja na kuendelea…

Soma Zaidi
WhatsApp Image 2023 05 23 at 13.22.54

Kamati ya Waziri Mkuu yaanza kukusanya maoni ya wafanyabiashara

Kamati maalum ya kutatua changamoto za wafanyabiashara nchini iliyoundwa na Waziri Waziri Mkuu Kassim Majaliwa imeanza kukusanya maoni ya wafanyabishara kutoka sekta mbali mbali jijini Dar es Salaam. Kamati hiyo inaundwa na wajumbe 14 ambapo wajumbe saba ni wawakilishi wa wafanyabiashara nchini na wajumbe wengine ni kutoka Wizara na Taasisi mbali mbali zinazohusika na biashara…

Soma Zaidi
WhatsApp Image 2023 05 10 at 16.04.23

TanTrade, GIZ kuwezesha wafanyabiashara mipakani

Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) na Shirika la GIZ zimekubaliana kushirikiana katika uwezeshaji wa Sekta ya biashara hususan kwenye eneo la wafanyabishara wanawake na vijana wanaovuka mipaka. Aidha, eneo lingine taasisi hizo mbili zimeonesha nia ya kushirikiana ni eneo muhimu la taarifa za biashara na kurahisisha wafanyabiashara kuzipata kwa njia rahisi. Kaimu Mkurugenzi…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks