Wahitimu BoT watakiwa kutumia ujuzi kuimarisha sekta ya fedha
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Emmanuel Tutuba, amewataka wahitimu wapya wa Chuo cha Benki Kuu ya Tanzania kutumia maarifa na ujuzi waliopata kwa uadilifu na weledi ili kusaidia kuimarisha sekta ya fedha nchini. Akizungumza katika Mahafali ya Tatu ya Chuo hicho yaliyofanyika Oktoba 31, 2024 jijini Mwanza, Gavana Tutuba amesisitiza kuwa sekta ya fedha…
