Mradi wa Dola za Marekani milioni 154.06 kusaidia wakulima 4,800,000
Wizara ya Kilimo imetambulisha mradi wenye gharama za Dola za Marekani milioni 154.06 na walengwa wa moja kwa moja ni wakulima 4,800,000 wakiwemo wanawake na vijana waliopo katika mnyororo wa thamani ya mazao ya ngano, alizeti na mpunga. Lengo la mradi huo niujulikanao kama Mradi wa Kusaidia Pembejeo za Kilimo Tanzania (TAISP) ni kuongeza tija…
