Wahasibu wanawake 300 wanolewa
Takribani wahasibu wanawake 300 kutoka katika Halmashauri mbalimbali wamepatiwa mafunzo ya usimamizi wa fedha za umma. Katika ufunguzi wa mafunzo hayo kwa wanawake wahasibu kutoka kwenye mafungu na Halmashauri iliyofanyika jijini Dodoma, Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Jenifa Christian Omolo kwa niaba ya Katibu Mkuu Dkt. Natu El-maamry Mwamba amesema wahasibu hao wametakiwa kusimamia…
