Wananchi watakiwa kutoa taarifa za wakopeshaji wasio rasmi
Wajasiliamali na wananchi wa Wilaya ya Monduli mkoani Arusha, wametakiwa kutoa taarifa kwa Maafisa Maendeleo ya Jamii wa Kata zao kuhusu wakopeshaji wasio rasmi wanaokopesha kinyume na taratibu na Sheria za Huduma Ndogo za Fedha ili hatua za kisheria zichukuliwe dhidi yao. Wito huo umetolewa na Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Monduli mkoani…
