Serikali yazitaka Taasisi za Fedha kutowakandamiza wananchi mikataba ya mikopo
Serikali imezitaka Taasisi za Fedha zilizosajiliwa kutoa huduma ya mikopo, kuto wakandamiza wananchi katika mikataba kwa sababu ya kutojua kusoma na kuandika kwa kuwasainisha mikataba bila uelewa wao. Hayo yameelezwa na Mkuu wa Wilaya ya Kwimba, Mkoa wa Mwanza Ng’wilabuzu Ndatwa Ludigija, alipokutana na Timu ya wataalamu kutoka Wizara ya Fedha na Taasisi zake, ambayo…
