WhatsApp Image 2025 04 09 at 15.28.16

Mabalozi watakiwa kutangaza fursa za Tanzania

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango amewasihi Mabalozi kuwaunganisha Watanzania wanaoishi katika nchi wanazowakilisha (Diaspora) ili waweze kuchangia maendeleo ya Taifa kupitia uwekezaji mbalimbali. Makamu wa Rais amesema hayo wakati alipokutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Tanzania nchini Sweden Balozi Mobhare Matinyi pamoja na Balozi wa Tanzania nchini…

Soma Zaidi
WhatsApp Image 2025 04 08 at 16.13.29

Rais Mwinyi: Zanzibar ina sera bora kwa uwekezaji

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi amesema Zanzibar imepiga hatua kubwa ya maendeleo kipindi cha miaka minne kwa mageuzi katika sekta mbalimbali na kuimarika kwa mifumo  pamoja na kuanzisha sera bora kwa uwekezaji zinazolenga kuweka mazingira wezeshi kwa wawekezaji wa ndani na kimataifa. Rais Dkt. Mwinyi amesema hayo katika…

Soma Zaidi
WhatsApp Image 2025 04 04 at 14.57.12

Rais Mwinyi: Uchaguzi Mkuu utafanyika kwa amani na utulivu 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi amewahakikishia wananchi kuwa Uchaguzi Mkuu Ujao Utafanyika kwa Amani na Utulivu. Alhaj Dkt. Mwinyi ameyasema hayo alipotoa Salamu baada ya Kujumuika kwa Sala ya Ijumaa Masjid Raudha Uliopo Darajabovu, Mkoa wa Mjini Magharibi Aprili 4, 2025. Amesema kuwa dhamira ya Serikali anayoiongoza…

Soma Zaidi
Screen Shot 2025 04 04 at 11.25.48 AM

Waziri Mavunde azindua rasmi shughuli za uchimbaji madini Chunya

Waziri wa Madini Anthony Mavunde amezindua rasmi shughuli za uchimbaji madini katika mgodi wa Porcupine North- uliopo Makongorosi Wilayani Chunya Mkoa wa Mbeya. Mgodi huo unaomilikiwa na Kampuni ya Shanta Gold Mining Limited umezinduliwa Aprili 03, 2025. Akizungumza katika hafla ya uzinduzi Waziri Mavunde amesema kuwa hatua hiyo ni matunda ya uamuzi wa Serikali kurudisha…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks