BoT, Rais wa Kampuni ya VISA wafanya mazungumzo Marekani
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) Emmanuel Tutuba, amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Kampuni ya VISA anayesimamia Ukanda wa Ulaya ya Kati, Mashariki ya Kati na Afrika, Andrew Torre. Katika kikao hicho, viongozi hao walijadili kwa kina namna mbalimbali za kupunguza gharama za miamala ya kifedha, kudhibiti uhalifu wa kimtandao, na kuimarisha…
