Machinga warudi Karume: Rais Samia
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameruhusu wafanyabiashara wa Soko la Karume kurejea na kuendelea na biashara kwa kuwekewa mpango mzuri. Akizungumza wakati wa mkutano wa hadhara na wafanyabiashara hao baada ya kupokea taarifa ya ripoti iliyoundwa kuchunguza chanzo cha moto uliotokea sokoni hapo usiku wa kuamkia January 16, 2022, Mkuu…

