Tanzania, Norway wajadili kilimo
Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Norway nchini Tanzania Tine Tonnes kuhusu ushirikiano katika maendeleo ya kilimo. Mazungumzo hayo yamefanyika Januari 31, 2023 ambapo miongoni mwa mambo waliyozungumza ni pamoja na afya ya udongo, teknolojia za kisasa za kilimo, kilimo himilivu, mabadiliko ya tabia nchi na mbolea. Waziri Bashe…
