Mradi wa 27.8bn kusaidia wakulima, wajasiriamali wazinduliwa
Mradi wenye thamani ya Euro Million 9.5 sawa na Tsh. 27.8 Billion wa Growing Together unaolenga kusaidia wajasiriamali wadogo na wakati umezinduliwa. Mradi huo ambao unafadhiliwa na Serikali ya Kifalme ya Norway kupitia Shirika la Maendeleo la Norway (Norad) na Dkt. Suleiman Serera, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo (Ushirika na Umwagiliaji) Novemba 06,…
