WhatsApp Image 2023 02 06 at 15.40.07 1

Halmashauri zahamasishwa kutenga maeneo kwa ajili ya vijana

Halmashauri za Wilaya nchini zinahamasishwa kuendelea kutenga maeneo kwa ajili ya mashamba ya pamoja (Block Farm) kwa ajili ya kuwezesha vijana kufanya kilimo biashara kupitia Programu ya Building a Better Tomorrow (BBT). Wito huo umetolewa na Mhandisi Godwin Makori ambaye anaratibu na kusimamia kazi ya kuhakiki na kupima mashamba kwa ajili ya kuyaandalia hati miliki…

Soma Zaidi
WhatsApp Image 2023 01 31 at 14.51.30

Vijana wahamasishwa kuchangamkia fursa za kilimo

Naibu Waziri wa Kilimo Anthony Mavunde amewataka vijana nchini Tanzania kuchangamkia fursa zilizopo kwenye sekta ya kilimo kupitia utekelezaji wa miradi mikubwa mbalimbali pamoja na programu za kuwezesha vijana. Amesema kwa kufanya hivyo, kutatatua changamoto kubwa ya ajira miongoni mwa vijana. Naibu Waziri Mavunde ameyasema hayo kwenye Kongamano la Vijana wa Vyuo vikuu na vyuo…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks