WhatsApp Image 2024 10 22 at 12.13.08

Silinde: Tunathamini mchango wa SACCOS Kwenye utoaji wa huduma jumuishi za kifedha

Naibu Waziri wa Kilimo, David Silinde amewataka Viongozi na Watendaji wa SACCOS nchini kuendelea kubuni bidhaa na huduma zinazoendana na mahitaji ya wanachama pamoja na kuendelea kutoa elimu ya fedha kwa wanachama na Watanzania ili kuongeza matumizi ya huduma za fedha nchini. Amesema hayo Oktoba 21, 2024 wakati akifungua Sherehe za Maadhimisho ya Siku ya…

Soma Zaidi
WhatsApp Image 2024 10 18 at 16.11.59 1

CBT kuwa chombo cha majadiliano baina ya wakulima na benki za kibiashara

Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe (Mb) amesema Benki ya Ushirika Tanzania (CBT) itakuwa chombo muhimu cha majadiliano na makubaliano ya kibiashara kati ya wakulima na Benki za Kibiashara. Bashe amesema hayo Oktoba 17, 2024 katika Mkutano Mkuu wa Kwanza wa Wananchama wa Benki ya Ushirika Tanzania (CBT) uliofanyika jijini Dodoma. Waziri Bashe amesema CBT inaanza…

Soma Zaidi
WhatsApp Image 2024 08 12 at 11.30.50

Serikali kuwa na hati fungani ya usalama wa chakula nchini: Rais Samia

Serikali inafanya mchakato katika kuwezesha Hatifungani ya Usalama wa Chakula ili kukuza Sekta ya Kilimo na kukuza mtaji wa kukopesha wakulima. Pia imelenga kuwezesha Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) katika nyanja zote za kiteknolojia, vifaa bora pamoja na kuongeza ukubwa wa maghala ya kuhifadhia nafaka ili iweze kununua na kuhifadhi chakula kwa…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks