Sensa ya Majengo kuanza kesho Agosti 30
Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi 2022, Anne Makinda amesema sensa ya majengo nchini itaanza kesho Jumanne Agosti 30, 2022 na itafanyika kwa siku tatu. Makinda amesema hayo jijini Dar es Salaam wakati akitoa tathmini ya Sensa ya Watu na Makazi ambapo ameeleza kuwa asilimia 93.45 ya kaya zote Tanzania zimehesabiwa hadi kufikia leo…
