TANZANIA NA ZAMBIA KUIMARISHA MIUNDOMBINU YA MADINI
Tanzania na Zambia kuimarisha miundombinu ya madini. Katika hatua inayotajwa kuwa ni mabadiliko makubwa ya kiuchumi kwa nchi za Kusini mwa Afrika (SADC), Serikali za Tanzania na Zambia zimeingia katika makubaliano mazito ya kuimarisha miundombinu ya kimkakati sekta ya madini. Hatua hii inalenga kutatua changamoto za muda mrefu za usafirishaji wa shehena za madini kutoka…
