Halmashauri ya Mji wa Mbinga yachekelea fedha za Rais Samia miradi mbalimbali
Halmashauri ya Mji wa Mbinga imepokea jumla ya Shilingi bilioni 11.974 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo. Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Mbinga Amina Seif amesema hivi karibuni kiasi hicho kilitumika kutekeleza miradi mbalimbali kwenye sekta za Elimu, Afya, Maendeleo ya jamii, Kilimo, Utawala, Biashara na Mifugo. Ameeleza kuwa fedha hizo…
