Umekuwa ukifikiria jinsi ya kukuza biashara yako ndogo, lakini mtaji umekuwa kikwazo kikuu?

Kiwango mikopo chechefu chapungua: BoT

Imeelezwa kuwa kiwango cha mikopo chechefu kimeshuka hadi asilimia 3.3, chini ya kiwango kinachovumilika cha asilimia 5. Hayo yameelezwa na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) Emmanuel Tutuba katika hafla ya futari iliyoandaliwa na BoT kwenye ofisi zake jijini Dar es Salaam Machi 20, 2025. “Sekta ya fedha inaendelea kuwa na ukwasi wa kutosha,…

Soma Zaidi
Screen Shot 2025 02 05 at 2.07.15 PM

Serikali kuhakikisha Namba ya Utambulisho wa Kodi (TIN) inabaki ile ile kampuni ikibadilisha jina kukwepa ulipaji kodi

Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali imechukua hatua madhubuti kudhibiti mianya ya ukwepaji kodi unaosababishwa na mabadiliko ya majina ya kampuni za kigeni kwa kuhakikisha Namba ya Utambulisho wa Kodi (TIN) inabaki ile ile hata kama kampuni itabadilisha jina. Hayo ameyasema bungeni jijini Dodoma wakati akijibu swali la Mbunge wa Tarime Mjini Michael…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks