MAWAKALA WA BIMA WATAKIWA KUZINGATIA UADILIFU
Mawakala wa bima watakiwa kuzingatia uadilifu. Sekta ya bima nchini Tanzania inaendelea kushuhudia mabadiliko makubwa huku kukiwa na mkazo wa kipekee katika kuongeza uelewa wa jamii kuhusu umuhimu wa kukata bima. Katika kuhakikisha lengo hili linafikiwa kwa ufanisi, mawakala wa bima wametajwa kuwa kiungo muhimu zaidi kati ya makampuni ya bima na mwananchi wa kawaida….
