UBUNIFU WAIFIKISHA TANZANIA SOKO LA DUNIA
Ubunifu waifikisha Tanzania soko la Dunia. Sekta ya ujasiriamali nchini Tanzania imekuwa ikikua kwa kasi ya ajabu, huku injini kuu ya mabadiliko hayo ikiwa ni akina mama na mabinti wenye uthubutu. Katika kilele cha maadhimisho ya miaka 20 ya Chemba ya Wanawake Wafanyabiashara Tanzania (TWCC), ujumbe mzito umetolewa: Ubunifu ndio ufunguo wa soko la kimataifa….
