Tsh bilioni 23.4 kujenga Soko Kuu Mwanza
Shilingi bilioni 23.4 zinatumika katika mradi wa ujenzi wa Soko Kuu la jijini Mwnza ambão utakapo kamilika, utawezesha wafanyabiashara wapatao 1,400 kupata maeneo mazuri ya kufanyia biashara. Mradi huo utakuwa na Maduka 514 (madogo, ya kati na makubwa) ndani na nje ya jengo, Vizimba 332 vya matunda na mbogamboga, Vizimba 372 vya nafaka, mama lishe…
