HATUA KALI KWA MAAFISA MADINI WANAOSABABISHA MIGOGORO
Hatua kali kwa maafisa madini wanaosababisha migogoro. Katika hali inayolenga kuleta nidhamu na uwajibikaji ndani ya sekta ya madini nchini Tanzania, Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, ametoa onyo kali kwa Maafisa Madini Wakazi wa Mikoa (RMOs). Akizungumza jijini Dodoma leo, Januari 22, 2026, Waziri Mavunde ameweka wazi kuwa Serikali ya Awamu ya Sita haitavumilia mtumishi…
