Zanzibar kuiongezea thamani sekta ya utalii
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali yake imedhamiria kwa dhati kuiendeleza sekta ya Utalii na kuongeza thamani na ubora kwa kutumia mikakati tofauti ikiwemo kuongeza vivutio. Rais Dk. Mwinyi ameyasema hayo wakati akifungua maonesho ya siku tatu ya Utalii na Uwekezaji Zanzibar 2023 yenye washiriki zaidi…
