suluhu

Rais Samia aenda Ghana

Rais Samia Suluhu Hassan anaondoka nchini leo kuelekea Accra, Ghana kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku tatu. Akiwa nchini Ghana, Rais Samia anatarajia kushiriki mdahalo wa Wakuu wa Nchi utakaojadili fursa zilizomo na changamoto zinazozikabili nchi za Afrika ikiwa ni pamoja na kuongezeka kwa athari za mabadiliko ya tabia nchi, kupanda kwa bei…

Soma Zaidi
Zanzibar

Royal tour Zanzibar

Rais wa Zanzibar Hussein Mwinyi anatarajia kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa filamu inayoeleza utalii wa Tanzania ya Royal Tour. Filamu hiyo itazinduliwa Zanzibar Mei 07, 2022 jioni kwenye hotel ya Golden Tulip. Katibu Mkuu wizara ya Sanaa Dk. Hassan Abass “historia inaenda kuandikwa hapa Zanzibar, hii ndio Royal Tour ya kipekee duniani kushiriki viongozi…

Soma Zaidi
nnnnn

Mteja ni mfalme: Waziri wa utalii

Serikali ya Tanzania imesema itaendelea kuweka mazingira wezeshi kwa wawekezaji wa sekta ya utalii pamoja na kuendelea kuboresha  huduma za kitalii. Huduma hizo ni pamoja na upatikanaji wa leseni ya shughuli za utalii kwa uharaka zaidi na mifumo ya malazi. Waziri wa Maliasili na Utalii Dk Damas Ndumbaro amesema hayo jijini Dares Salaam wakati akikabidhi vyeti kwa…

Soma Zaidi

Biashara za mtaji mdogo, suluhisho la vijana kujiajiri

Wakati sera kuu ya Tanzania ni vijana na wanawake kujiajiri, upatikanaji mgumu wa mtaji unazuia maendeleo. Serikali imefanya mengi ili kuongeza upatikanaji wa mtaji kwa makundi maalum kama wanawake, vijana na watu wenye ulemavu, hata hivyo mengi zaidi yanahitajika kufanywa. Hadi sasa, serikali kupitia Benki Kuu ya Tanzania imerahisisha mahitaji ya ukopaji kwenye mabenki na…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks