Mfumo wa umilikishwaji fukwe kupitiwa upya
Katika kurahisisha mazingira ya uwekezaji na usimamizi wa maeneo ya fukwe nchini kwa lengo la kukuza utalii, serikali imependekeza kupitiwa upya kwa mfumo wa umilikishwaji wa fukwe. Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mary Masanja amesema hayo Novemba 24, 2022 jijini Mwanza wakati wa hafla ya ufunguzi wa Jukwaa la Nane la Maendeleo Endelevu lenye…
