China, Tanzania kukuza soko mazao ya bahari
Ushirikiano baina ya Tanzania na China unawezesha utekelezaji wa Sera ya Uchumi wa buluu na utalii ambao unahusisha usafirishaji wa mazao ya Bahari ikiwemo samaki. Waziri wa Maendeleo ya Viwanda Zanzibar Shaban Omary amesema hayo Julai 4, 2023 katika hafla ya siku ya China (CHINA DAY) katika maonesho ya 47 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba)…
