Screen Shot 2025 04 30 at 2.15.38 PM

Gavana Tutuba akutana na Balozi wa Uingereza

Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT),  Emmanuel Tutuba, amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Marianne Young, katika ofisi za Benki Kuu jijini Dar es Salaam, tarehe 29 Aprili 2025. Katika mazungumzo hayo, Gavana Tutuba alieleza kuwa uchumi wa Tanzania umeendelea kuimarika licha ya changamoto mbalimbali za kiuchumi duniani. Alibainisha kuwa…

Soma Zaidi
Screen Shot 2025 03 20 at 3.01.51 PM

Zanzibar yafungua dirisha la uwekezaji hati fungani inayofuata misingi dini ya Kiislamu

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imefungua dirisha la uwekezaji katika hati fungani inayofuata misingi ya dini ya Kiislamu, Zanzibar Sukuk, ambayo inalenga kusaidia utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo visiwani humo. Akizungumza baada ya kikao na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango Zanzibar, Dkt. Saada Mkuya, kilichofanyika katika ofisi za Benki Kuu…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks