ABSA YAPIGIA CHAPUO UWEZESHAJI WANAWAKE
Absa yapigia chapuo uwezeshaji wanawake. Katika karne ya 21, mjadala wa maendeleo ya taifa hauwezi kukamilika bila kugusia nafasi ya mwanamke katika mzunguko wa fedha. Benki ya Absa Tanzania imepiga hatua kubwa kwa kuthibitisha upya dhamira yake ya dhati katika uwezeshaji wa wanawake kiuchumi Tanzania, ikisisitiza kuwa hatua hiyo si tendo la hisani, bali ni…
