Mabadiliko sekta ya utalii kuinua uchumi
Waziri mpya wa Maliasili na Utalii, Mohamed Mchengerewa amesema kuwa atahakikisha wanafanya mabadiliko na mapinduzi makubwa katika sekta ya utalii ili ichangie zaidi uchumi wa nchi. Waziri Mchengerwa ameyasema hayo leo jijini Dodoma wakati wa makabidhiano ya ofisi na aliyekuwa Waziri wa Wizara hiyo Balozi Dkt. Pindi Chana. ‘’Tunahifadhi na kutangaza utalii nchini. Lakini pia…
