Screen Shot 2025 01 09 at 5.01.38 PM

Tanzania, Uingereza kushirikiana katika kuendeleza madini mkakati

Serikali ya Tanzania imeihakikishia Serikali ya Uingereza kuendeleza ushirikiano kwenye sekta ya madini hususani katika kujengea uwezo watu wake, kubadilishana uzoefu, uongezaji thamani madini na kuwekeza kwenye kufanya tafiti mbalimbali ili kukuza sekta hiyo na kupanua mnyororo wa thamani ili kuongeza ajira na kuchangia katika ukuaji wa pato la taifa. Hayo, yameelezwa Januari 07 na…

Soma Zaidi
WhatsApp Image 2024 11 18 at 15.58.40 1

Nchi zilizoendelea zakumbushwa kutoa ahadi ya Dola bilioni 500

Nchi zilizoendelea zimetakiwa kutimiza ahadi yao ya kutoa dola za marekani bilioni 500, sawa na dola bilioni 100 kila mwaka kwa ajili ya kuzisaidia nchi zinazoendelea kukabiliana na changamoto za mabadiliko ya tabianchi katika kipindi cha miaka mitano, kuanzia mwaka 2020 hadi mwaka 2025. Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba amesema hayo wakati akichangia hoja…

Soma Zaidi
WhatsApp Image 2024 10 25 at 17.18.30

Dkt. Kiruswa awataka wananchi Rukwa kuomba leseni za uchimbaji mdogo wa madini

Naibu Waziri wa Madini Dkt. Steven Kiruswa amewataka wananchi wa mkoa wa Rukwa kuchangamkia fursa zilizopo katika sekta ya madini kwa kuomba Leseni za Uchimbaji Mdogo ili waweze kushiriki kikamilifu katika uchumi wa madini. Dkt. Kiruswa ametoa wito huo leo, Oktoba 24, 2024 wakati akizungumza na wananchi wa Vijiji vya Zimba na Misheni vilivyoko katika…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks