BILIONI 517 KUCHOCHEA MAENDELEO DAR
Bilioni 517 kuchochea maendeleo Dar. Jiji la Dar es Salaam, ambalo ndilo kitovu cha biashara na uchumi nchini Tanzania, linapita katika kipindi cha mpito cha kihistoria kuelekea kuwa jiji la kisasa zaidi barani Afrika. Serikali imedhamiria kwa dhati kumaliza kero za usafiri kwa kuelekeza kiasi cha zaidi ya Shilingi Bilioni 517 katika kuboresha miundombinu ya…
