WhatsApp Image 2023 07 21 at 15.12.17

Waomba serikali kuwakopesha vitendea kazi

Vitendea kazi vimetajwa kama changamoto inayowakabili wajasiriamali wadogo nchini. Baadhi ya wajasiriamali waliohudhuria katika maonesho ya 47 ya Biashara ya Kimataifa jijini Dar es Salaam, wameiomba serikali kuangalia namna pia ya kutoa mikopo ya vitendea kazi ikiwemo mashine. Bahati Malangalila ambae ni mjasiriamali wa kutengeneza vinywaji na vyakula vya lishe ameitaja changamoto hiyo kama kikwazo…

Soma Zaidi
WhatsApp Image 2023 06 13 at 10.29.25

Wanawake kupata mafunzo na mitaji wezeshi

Benki ya CRDB imesaini makubaliano ya kushirikiana na taasisi za BUTA Vicoba Endelevu na Open Mind and Thoughts Organization (OMTO) kuwawezesha wanawake kupata mafunzo na mitaji wezeshi kupitia program ya IMBEJU. Akizungumza kwenye hafla ya makubaliano hayo, Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB Bank Foundation, Tully Esther Mwambapa amezishukuru taasisi hizo kwa utayari wao wa kushirikiana na…

Soma Zaidi
WhatsApp Image 2023 05 10 at 16.04.23

TanTrade, GIZ kuwezesha wafanyabiashara mipakani

Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) na Shirika la GIZ zimekubaliana kushirikiana katika uwezeshaji wa Sekta ya biashara hususan kwenye eneo la wafanyabishara wanawake na vijana wanaovuka mipaka. Aidha, eneo lingine taasisi hizo mbili zimeonesha nia ya kushirikiana ni eneo muhimu la taarifa za biashara na kurahisisha wafanyabiashara kuzipata kwa njia rahisi. Kaimu Mkurugenzi…

Soma Zaidi
sasaa

Wanawake watakiwa kupata elimu ya fedha kabla ya mikopo

Wanawake wametakiwa kuacha kukimbilia kukopa fedha kabla ya kuwa na elimu ya fedha. Kutokuwa na elimu ya fedha kunawasababisha kuishia kupata matatizo mbalimbali kutokana na madeni kwa kushindwa kulipa mikopo hiyo. Beng’i Issa ambae ni Katibu  Mtendaji wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi kiuchumi (NEEC), ameyasema hayo na kudai kuwa sekta  ya fedha imekuwa…

Soma Zaidi
WhatsApp Image 2022 12 05 at 2.38.41 PM

Rais Samia ataja changamoto maendeleo ya wanawake

Rais Samia Suluhu Hassan amesema maendeleo ya wanawake yamekuwa yakiathiriwa na changamoto mbalimbali ikiwemo kukosa rasilimali, kutengwa, kutopata haki na kutopewa nafasi katika kufanya maamuzi. Rais Samia ameyasema hayo katika Kongamano la Wanawake Vijana wa Mtandao wa Viongozi Wanawake Barani Afrika (African Women Leaders Network – AWLN) uliofanyika Zanzibar Desemba 2 hadi 4, 2022. Amesema…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks