BoT yaendesha mafunzo mfumo taarifa za mikopo Tanzania
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) inaendesha mafunzo kwa watoa huduma ndogo za fedha kuhusu mfumo wa taarifa za mikopo Tanzania. Lengo la mafunzo hayo ni kuwaelimisha washiriki kuhusu umuhimu wa mfumo huo na kuwahamasisha kuutumia kwa kutoa taarifa za wakopaji wao na kutumia taarifa hizo wanapochakata maombi ya mikopo ya wateja wao. Mfumo wa taarifa…
