Fursa za ufugaji nyuki hazijatumiwa ipasavyo
Imeelezwa kuwa bado kuna fursa za ufugaji nyuki ambazo bado hazijatumiwa ipasavyo. Gilbert Gotifrid ni Afisa Nyuki wa Halmashauri ya Mbinga ambapo anaeleza kuwa kati ya hekta 900 zilizopo katika milima ya Lipembe ambazo zimetengwa kwaajili ya shughuli za ufugaji wa nyuki, ni kama asilimia 1.1 tuu zinatumika kwa shughuli hiyo. Hii inaonyesha kuwa bado…
