WhatsApp Image 2023 01 31 at 14.51.30

Vijana wahamasishwa kuchangamkia fursa za kilimo

Naibu Waziri wa Kilimo Anthony Mavunde amewataka vijana nchini Tanzania kuchangamkia fursa zilizopo kwenye sekta ya kilimo kupitia utekelezaji wa miradi mikubwa mbalimbali pamoja na programu za kuwezesha vijana. Amesema kwa kufanya hivyo, kutatatua changamoto kubwa ya ajira miongoni mwa vijana. Naibu Waziri Mavunde ameyasema hayo kwenye Kongamano la Vijana wa Vyuo vikuu na vyuo…

Soma Zaidi
WhatsApp Image 2023 01 18 at 15.52.47

Tumieni bandari ya Dar es Salaam: Makalla

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Amos Makalla amefanya ziara ya kutembelea na kukagua ufanisi wa utendaji wa bandari ya Dar es salaam ambapo ameonyesha kuridhishwa na maboresho makubwa yaliyofanywa jambo lililowezesha kuongezeka kwa kasi ya utoaji mizigo. Katika ziara hiyo, RC Makalla amewahakikishia wananchi na wafanyabiashara ndani na nje ya nchi kuwa kazi…

Soma Zaidi
WhatsApp Image 2023 01 19 at 11.58.56

Sekta ya kilimo kukua kwa 10% 2030: Rais Samia

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema sekta ya kilimo inatarajiwa kukua kwa asilimia 10 ifikapo mwaka 2030 ukilinganisha na ukuaji wa sasa wa takribani 3.6%. Rais Samia amesema Tanzania imetengeneza fursa za kitaifa kwa ajili ya mabadiliko ya mfumo wa chakula unaotarajia kuongeza uzalishaji wa chakula, kuimarisha maisha ya watu na kusaidia kukabiliana na…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks