Mfumo wa Taifa wa Takwimu kusaidia maendeleo
Mfumo wa Kitaifa wa Takwimu utasaidia nchi kuweka mipango yake ya maendeleo ikiwa ni pamoja na kufanya tathmini ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano, wa mwaka 2020 – 2025 na maandalizi ya Mpango wa Maendeleo wa 2025 – 2030. Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba, amesema mfumo huo unafanya…
