TCRA kuja na app ya kufuatilia vifurushi
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imeelekeza watoa huduma za mawasiliano ya simu kutengeneza ‘application’ ambazo watumiaji wanaweza kufuatilia matumizi yao ya vifurushi. Mkurugenzi Masuala ya Sekta TCRA, Dk Emmanuel Manase amesema lengo ni kupunguza malalamiko ya vifurushi kuisha kabla ya muda au bila kutumiwa. Hayo yamesemwa Februari 22, 2022 wakati wa mkutano wa TCRA na…
