Jukwaa la Utalii wa Chakula Duniani, CHAN kuendelea kutangaza utalii wa Tanzania

Jukwaa la Pili la Utalii wa Chakula Duniani kwa Kanda ya Afrika linaloandaliwa na Shirika la Utalii Duniani linatarajiwa kufanyika hapa nchini Aprili 2025 jijini Arusha. Haya yamebainishwa na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa Majaliwa alipokuwa akiwasilisha mapitio na mwelekeo wa kazi za serikali na makadirio ya mapato na matumizi…

Read More

Taasisi za uhifadhi zatakiwa kulinda maeneo kwa teknolojia

Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi, Dkt. Pindi Chana amezitaka taasisi zilizo chini ya Wizara ya Maliasili na Utalii zinazojishughulisha na masuala ya uhifadhi kuhakikisha zinaweka mikakati ya kulinda maeneo ya hifadhi kwa teknolojia. Ameyasema hayo Machi 29,2025 alipokuwa akizungumza na Menejimenti ya Hifadhi ya Taifa Arusha wakati wa ziara ya kikazi ambapo alikagua mradi…

Read More

Viwango vya malipo kwa waongozoza watilii, wapishi kuwekwa kisheria

Serikali iko kwenye mchakato wa kuweka malipo ya wapagazi, waongoza watalii na wapishi katika mlima kilimanjaro kuwa kisheria. Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Dunstan Kitandula amesema hayo Bungeni Dodoma wakati akijibu swali lambunge wa Vunjo Dkt. Charles Stephen Kimei ambaye alitaka kujua lini Serikali itafanya mapitio ya viwango vya malipo ya ujira kwa wapagazi,…

Read More

Serengeti yashinda tena

Hifadhi ya Taifa ya Serengeti imeendelea kung’ara baada ya kushinda Tuzo ya Hifadhi bora Afrika kwa mwaka 2023 (Africa’s Leading National Park 2023) ikiwa ni mara ya tano mfululizo. Tuzo hiyo imetolewa na ‘World Travel Awards’ na kupokelewa na Mkuu wa Kanda ya Magharibi wa Tanapa, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Uhifadhi, Izumbe Msindai usiku wa…

Read More

Pato la utalii kupaa

Sekta ya utalii inatarajiwa kuchangia Pato la Taifa kwa 19.5% ifikakapo mwaka 2025/2026. Sekta hiyo inayokuwa kwa kasi nchini Tanzania imekuwa ikichangia Pato la Taifa kwa aslimia 17.5 na asilimia 30 ya fedha za kigeni. Makadirio ya wadau wa sekta hiyo yanaonesha kuwa mapato ya utalii yataongezeka kwa asilimia 6.2 kuanzia sasa hadi kufika mwaka…

Read More