STAMICO yapongezwa uwekezaji mradi makaa ya mawe Kiwira
Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC) wakiongozwa na Makamu Mwenyekitii Ndugu Japhet Hasunga walifanya ziara kwenye mradi wa makaa ya mawe wa Kiwira ambapo kamati ilitembelea maeneo mbalimbali ya mgodi ikiwemo mradi wa kutengeneza nishati mbadala ya Rafiki Briquette. Katika ziara hiyo, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Ndugu Deusdedith Magala aliwaongoza wajumbe wa kamati kushudia shughuli mbalimbali…
