Kibano wauza mbegu, mbolea feki nchini chanja
Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amesema Serikali iko mbioni kutunga Sheria itakayowabana wauzaji wa mbegu, viuatilifu na mbolea feki ili waweze kuhukumiwa kwa makosa ya uhujumu uchumi kuanzia msimu ujao wa kilimo. Waziri Bashe amesema hayo akiwa mgeni rasmi katika Mkutano wa Taifa wa Wadau wa Tasnia ya Mbegu Mei 15, 2025 uliofanyika katika Ukumbi…
