Uwekezaji UTT AMIS waongezeka mara mbili
Thamani ya mifuko ya Kampuni ya uwekezaji ya UTT AMIS imeongezeka kutoka Shilingi trilioni 1.5354 mwezi June, 2023 hadi kufikia Shilingi trilioni 2.2382 Juni 2024. Hili ni ongezeko la Shilingi bilioni 702.8 sawa na asilimia 45.7 ikilinganishwa na ongezeko la Shilingi bilioni 538.9 sawa na asilimia 54.0 mwaka uliopita. Taarifa hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa…
