Riba ya Benki Kuu kusalia asilimia sita
Kamati ya Sera ya Fedha ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imesema Riba ya Benki Kuu (CBR) kwa kwa robo ya mwisho wa mwaka 2024 itabaki kuwa asilimia sita. Gavana wa BoT Emmanuel Tutuba ameeleza hayo Oktoba 03, 2024 jijini Dodoma kuwa uamuzi huo umeafikiwa kutokana na matarajio ya mfumuko wa bei kuendelea kuwa chini…
