Baadhi ya mazao yaliyopanda bei mwaka 2024
Mwaka 2024 umekuwa wa neema kwa wakulima kwa baadhi ya mazao kupanda bei ikilinganishwa na mwaka 2023. Mazao hayo ni pamoja na ufuta, korosho, kakao, kahawa na mbaazi. Akitoa salamu za mwaka mpya 2025, Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan alisema serikali kupitia Sekta ya Kilimo imeongeza uzalishaji wa mazao ya chakula na biashara pamoja na…
