WhatsApp Image 2023 02 10 at 14.19.43

Zoezi uhakiki wa mashamba lapamba moto

Zoezi la uhakiki na upimaji wa mashamba kwa ajili programu ya Building a Better Tomorrow (BBT ) linaenda vizuri kutokana na ushirikiano na utayari unaooneshwa na viongozi na wananchi wa mikoa ya Kigoma na Kagera. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa Idara ya Usimamizi wa Mipango ya Matumizi ya Ardhi ya Kilimo kutoka Wizara ya Kilimo…

Soma Zaidi
WhatsApp Image 2023 01 31 at 14.51.30

Vijana wahamasishwa kuchangamkia fursa za kilimo

Naibu Waziri wa Kilimo Anthony Mavunde amewataka vijana nchini Tanzania kuchangamkia fursa zilizopo kwenye sekta ya kilimo kupitia utekelezaji wa miradi mikubwa mbalimbali pamoja na programu za kuwezesha vijana. Amesema kwa kufanya hivyo, kutatatua changamoto kubwa ya ajira miongoni mwa vijana. Naibu Waziri Mavunde ameyasema hayo kwenye Kongamano la Vijana wa Vyuo vikuu na vyuo…

Soma Zaidi
mwanri

Acheni kurusha mbegu: Mwanri

Balozi wa Bodi ya Pamba Tanzania (TCB), Aggrey Mwanri amewataka wakulima wa zao la pamba katika wilaya Bariadi mkoa wa Simiyu kulima zao hilo kwa kutumia vipimo vipya vya kisasa. Vipimo hivyo ni sentimeta 60 kutoka mstari hadi mstari na sentimeta 30 kutoka shimo hadi shimo. Mwanri amewataka wakulima kufuata vipimo na kuachana na mtindo…

Soma Zaidi
kkkk

Wakulima tumieni mitandao kujikwamua kiuchumi: TCRA

Wakulima nchini Tanzania wametakiwa kutumia fursa za mitandao katika kujikwamua kiuchumi ikiwamo huduma za masoko ya mazao wanayozalisha. Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), imewataka wakulima wanapoelekea kuadhimisha siku ya Wakulima (Nane Nane) kutumia mitandao ya kijamii kutangaza kilimo. Akizungumza katika banda la TCRA, mkuu wa mamlaka hiyo kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Asajile John…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks