Tanzania, Oman zadhamiria kuimarisha ushirikiano wa biashara na uwekezaji pesatu.co.tz

Tanzania, Oman zadhamiria kuimarisha ushirikiano wa biashara na uwekezaji

Tanzania na Oman zimekutana kujadili kuongeza wigo wa ushirikiano katika biashara na uchumi kupitia Jukwaa la Biashara. Jukwaa hilo lililowakutanisha wafanyabiashara na wadau wa uwekezaji na biashara kutoka Tanzania na Oman limefanyika jijini Dar es Salaam, Oktoba 6, 2025 na kufunguliwa na Mkurugenzi wa Idara ya Mashariki ya Kati, Wizara ya Mambo ya Nje na…

Soma Zaidi
Screen Shot 2025 07 31 at 12.32.50 PM

1163 wathibitisha kushiriki Maonesho Nanenane 2025

Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Gerald Mweli amesema kuwa washiriki wapatao 1163 wamethibitisha kushiriki katika Maonesho ya Kilimo ya Kimataifa Nanenane 2025 ambayo Kitaifa yanafanyika katika viwanja vya Nzuguni, mkoani Dodoma. “Kutakuwa na teknolojia za huduma za kisekta ambapo waoneshaji 753 wanatoka katika Sekta za Umma na Binafsi, washirika kutoka katika taasisi za nje…

Soma Zaidi
WhatsApp Image 2025 04 28 at 15.34.21

Waziri Mkuu aagiza ufuatiliaji wa watendaji Vyama vya Ushirika

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameiagiza Wizara ya Kilimo iimarishe na kufanya ufuatiliaji wa watendaji wa Vyama vya Ushirika ili wazingatie maadili ya utumishi wa ushirika, uwazi, uwajibikaji na utawala bora, na hivyo kuwavutia wanachama na wawekezaji. Pia Majaliwa ameiagiza Wizara ya Kilimo, pamoja na Tume ya Maendeleo ya Ushirika, iharakishe na kusimamia kikamilifu utekelezaji wa…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks