Rais Dkt. Mwinyi ahimiza wanawake kugombea nafasi za uongozi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi amewahimiza wanawake kujitokeza kwa wingi kugombea nafasi za uongozi muda utakapowadia. Rais Dkt. Mwinyi ametoa rai hiyo Machi 06, 2025 katika Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliofanyika Viwanja vya Maonesho Dimani, Mkoa wa Mjini Magharibi. Rais Dkt. Mwinyi amesema Serikali ya…
