WhatsApp Image 2022 09 30 at 5.01.22 PM

Tanzania kukopeshwa bilioni 979

Tanzania imeahidiwa kupewa mkopo nafuu kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo kutoa katika mfuko wa Maendeleo wa Abu Dhabi wa Umoja wa Falme za Kiarabu. Miongoni mwa miradi itakayonufaika ni mradi wa umeme wa Benaco-Kyaka mkoani Kagera na ujenzi wa makazi ya watumishi ya gharama nafuu Zanzibar, inayokadiriwa kugharimu dola za Marekani milioni…

Soma Zaidi
WhatsApp Image 2022 02 24 at 4.58.27 PM

Bilioni 200 kwa ajili ya machinga

Benki ya NMB imetenga kiasi cha Shilingi bilioni 200 kwa ajili ya kuwapa mikopo wamachinga. Afisa Mkuu wa Wateja Binafsi na Biashara wa NMB, Filbert Mponzi amesema wameingia mkataba na wamachinga ambapo mbali na mikopo hiyo, benki hiyo pia itawapa mafunzo ya kifedha. “Kupitia ujuzi tulionao tutakuwa tukitoa mafunzo kwa machinga, benki yetu ina uzoefu mkubwa…

Soma Zaidi
E51442C6 6686 4538 A1FA D837C5FF2EBC

Vivutio vya utalii Tanzania vyavutia Hispania

Katika Maonesho ya Utalii ya FITUR yanayoendelea nchini Hispania, vivutio vya utalii vinavyopatikana nchini  vimewavutia washiriki wengi. Kaimu Meneja wa Mikutano na Matukio wa Bodi ya Utalii (TTB) inayoratibu maonesho hayo kwa upande wa Tanzania Bi. Lily Fungamtama amesema kuwa wamepokea mawakala wengi wa utalii walioonyesha kuvutiwa na vivutio hivyo na kuweka miadi ya kuvitembelea…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks