swe

Mbunge alia na mikopo kausha damu

Mbunge wa viti maalum Mwantumu Zodo ametaka kufahamu ni lini Serikali itarejesha mikopo ya asilimia 10 ya halmashauri ambayo imesitishwa kwa muda mrefu. Akizungumza Bungeni jijini Dodoma Februari 02, 2023 amehoji “kwa kuwa wakina mama bado wanahangaika na mikopo ya kausha damu mitaani, je ni lini sasa serikali itaanza tena zoezi hili la utoaji mikopo…

Soma Zaidi
WhatsApp Image 2023 12 15 at 13.57.14

Msichimbie fedha ndani: Waziri Dkt Nchemba

Watanzania wametakiwa kutumia benki kuhifadhi fedha zao ili kuhakikisha usalama wa fedha hizo na usalama wao na kuacha tabia ya kuhifadhi fedha majumbani. Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, amesema hayo jijini Dodoma wakati akizundua Tawi la Benki ya watu wa Zanzibar (PBZ) kwa niaba ya Mheshimiwa Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan. Dkt. Nchemba…

Soma Zaidi
WhatsApp Image 2023 11 06 at 17.14.19

Deni la Serikali ni Sh 82.12 trilioni

Waziri wa Fedha Dk Mwigulu Nchemba amesema hadi kufikia Juni 2023, deni la Serikali lilikuwa ni Sh 82.12 trilioni huku mikopo ikitumika kugharamia miradi ya maendeleo ikiwemo ujenzi wa miundombinu ya barabara, reli, viwanja vya ndege, umeme, afya na elimu. Waziri Nchemba amesema hayo Novemba 6, wakati akiwasilisha mapendekezo ya mwongozo wa maandalizi ya Mpango…

Soma Zaidi
WhatsApp Image 2023 10 30 at 15.24.26

Hatifungani ya kijani yavuka lengo

Hatifungani ya kijani ya benki ya CRDB imevuka lengo lililokusudiwa la shilingi bilioni 40 kwa asilimia 329.55 ikiwa ni awamu ya kwanza ya uuzwaji. Benki ya CRDB imetangaza rasmi matokeo ya hatifungani hiyo iliyouzwa kwa siku 38 kuanzia Agosti 31, 2023. Mgeni Rasmi katika hafla hiyo alikua ni Dkt. Charles Mwamwaja, Kamishna wa Idara ya…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks