WhatsApp Image 2024 06 06 at 16.18.28

BoT, OR-TAMISEMI kujadili sekta huduma za mikopo

Benki Kuu ya Tanzania (BoT) inashirikiana na Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI) katika kutatua changamoto mbalimbali zinazoikabili sekta ya huduma ndogo za fedha nchini. Sekta hizo ni pamoja na huduma za mikopo ili kuiwezesha sekta hiyo kuwa na manufaa kwa wananchi na uchumi wa nchi kwa ujumla. Akizungumza wakati…

Soma Zaidi
WhatsApp Image 2024 05 29 at 12.20.49

BoT, Citibank wajadili mikopo chechefu

Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) Emmanuel Tutuba, amekutana na Mkuu wa Kundi la Citibank Kusini mwa Jangwa la Sahara, Akin Dawodu jijini Dodoma kuzungumza masuala mbalimbali yanayohusu sekta ya fedha. Katika mazungumzo hayo yaliyofanyika Mei 28, 2024, Gavana Tutuba amesema utendaji wa Citibank umeonesha kuongezeka kwa faida na kupungua kwa kiasi kikubwa kwa…

Soma Zaidi
WhatsApp Image 2024 05 23 at 17.18.43

Serikali ya Tanzania yatakiwa kujenga maabara za TEHAMA katika kila shule

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Bajeti, Oran Njeza ameiagiza Ofisi ya Rais- TAMISEMI kuhakikisha inajenga maabara za TEHAMA katika kila shule ili wanafunzi wapate ujuzi kwa lengo la kukabiliana na mabadiliko ya sayansi na teknolojia duniani. Ameyasema hayo Mei 21, 2024 kwenye kikao cha kujengewa uwezo wajumbe wa kamati hiyo kuhusu ufundishaji mubashara uliofanyika…

Soma Zaidi
WhatsApp Image 2024 04 16 at 13.54.19

Wakaguzi wa ndani Afrika watakiwa kubadilishana uzoefu

Wakaguzi wa Ndani barani Afrika wametakiwa kubadilishana uzoefu na kutumia teknolojia katika kutatua changamoto mbalimbali katika taaluma yao na kuhakikisha wanasaidia taasisi na Serikali zao kuboresha ufanyaji kazi ili kuchochea maendeleo. Hayo yameelezwa jijini Arusha na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango Zanzibar, Dkt. Saada Mkuya Salum, wakati wa Mkutano wa 10…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks